Diva a.K.a Loveness Malinzi Mtangazaji wa Clouds-FM aweka kifua chake wazi katika mitandao ya kijamii.
Mtangazaji wa kituo cha redio Clouds FM Loveness Malinzi a.k.a Diva ambaye anabamba katika kipindi cha “Ala Za Roho” kwa sasa ameangukiwa na tuhuma kubwa.
Kutokuwa na nidhamu kutoka kwa mashabiki wake baada ya ku-post picha kwenye account yake ya instagram bila ya kujali kuwa hii ni Digital watoto wanaweza kumdharau kwa kuzitazama sehemu nyeti za mwili wake.
No comments