Recent comments

Breaking News

Je unafahamu kilichotokea kwenye akaunti ya Barcelona usiku kwenye akaunti ya Twitter, baada ya ushindi wa 2-0 kwa Manchester City? Hiki hapa

barcelona twitter fcAkaunti ya klabu ya FC Barcelona ya mtandao wa Twitter jana usiku iliingiliwa na hackers muda mchache baada ya ushindi wa 2-0 dhidi  Manchester City katika ligi ya mabingwa wa ulaya.
Tweets zote zilikuwa zikitumwa zilikuwa na link ya  ’Syrian Electronic Army’, ikimaanisha kwamba hackers hao kampuni hiyo ya kisyria ionekane ndio walihusika na kuingilia akaunti hiyo ya Barca.
Tweets tatu zilizotumwa zilionyesha kuzunfumzia vibaya uhusiano wa kibiashara wa Barcelona na Qatar – taifa la kiarabu linaloidhamini Barcelona kupitia kampuni yake ya usafirishaji wa anga Qatar Airways.
370861hp2
The messages took over 10 minutes for the Spanish and Catalonian profiles to delete, and even longer for the English language outlet, but not before the hacker gave Clasico rivals Real Madrid a heads up.
The three official Twitter profiles of La Liga’s leaders – who put one foot in the quarter-finals of the Champions League with a 2-0 away victory at Man City on Tuesday – have a combined following of just over 21.3 million people.

No comments