Recent comments

Breaking News

Exclusive:- Video Mpya ya D'Banj- Bother You

Video Mpya: D
D’Banj ameachia video ya wimbo wake ‘Bother You’ wenye ujumbe wa mapenzi ambao aliokusudia kutoka siku ya leo (Valentine’s day).
Mwimbaji huyo wa Naija anamtaka msichana mrembo amruhusu amsumbue na amuazime muda wake ili amuulize maswali yake.
Video hii iliyoongozwa na Biyi Bandele, inaanza kwa kipande cha ucheshi kidogo ambapo anaonekana kijana anayepewa maagizo na mtu mzima wa makamo kama boss ama baba yake, kuwa kuna msichana maalum sana anakuja nyumbani pale wikendi. Kijana anaitikia ‘Yes Sir’, lakini mzee huyo anamkazia na kumwambia ‘jina langu sio Sir’, na kijana anakubali tena kama alivyofanya mwanzo ‘Yes Sir’.
<iframe width="560" height="360" src="//www.youtube.com/embed/RKCk6PtNPdw?feature=player_embedded" frameborder="0" allowfullscreen></iframe>

No comments