Exclusive:- Je unamfahamu aliyetengeneza programu ya kuangalia matokeo ya shule zote za sekondari kwa kutumia simu ya kiganjani bila yakuwa na access ya Internet kwenye simu?
Ni programu pekee Tanzania iliyotengenezwa kwa ajili ya kurahisisha uangaliaji wa matokeo ya shule za sekondari kwa shule zote za Tanzania Mfano (S0111/0025 kwenda namba 15573). Programu hii inaendana sambamba na Website ambayo inaonesha shule na ubora wa shule hiyo katika masomo mbalimbali yaani michepuo ambayo inafundishwa shuleni hapo, pia mahali na namna jinsi inavyofanya katika masomo yake ukilinganisha na shule zingine. Ni dynamic website yenye database ya shule zote Tanzania takribani zaidi ya shule 4000.
Tembelea. www.shulewiki.com na like page facebook Matokeo NECTA
No comments