Wanamuziki Jeniffer Lopez na Pitbul jana walikuwa wakishoot video ya mpya wa World Cup uitwao “We Are One” huko nchini Brazil. Wimbo huo utatumika kama anthem ya world cup 2014.
Chukua time yako ya nguvu kutazama picha jinsi video ya wimbo wa mpya wa World Cup "We Are One"
Reviewed by bongohitz1
on
1:42:00 AM
Rating: 5
No comments