Recent comments

Breaking News

STEREO FEAT BEN POL -~ USIONE HATARI (NEW SONG)

Baada ya kuwa kimya kwa kipindi kirefu kidogo hatimaye mkali huyu hapa wa miondoko ya Hip hop Bongo, Stereo ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Usione hatari’.
Ngoma hiyo iliyonyongwa na mtayarishaji DX kutoka ndani ya studio za Noizmekah zilizopo jijini Arusha, amepewa shavu the king of R&B mwenyeji wa Dodoma Benard Paul aka Ben Pol.
Isikilize hapa ngoma hiyo:-

No comments