Recent comments

Breaking News

SHILLA ~ KULA GAMBE (NEW AUDIO)

SHILLA ~ KULA GAMBE (NEW AUDIO)
Baada ya utambulisho wake kupitia website ya Baabkubwa hatimaye ngoma yake ya kwanza hii hapa inayokwenda kwa jina la ‘Kula gambe’ ambayo ni mkono wa producer mdogo kabisa kutoka Uganda anayekwenda kwa jina la Naseem lakini studio iliyotumika ipo hapa Dar pande za Kinyerezi , studio mpya kabisa inayokwenda kwa jina la All Moon Records.
Kichupa cha ngoma hiyo kipo mbioni kutoka huku ngoma yake ya pili aliyomshirikisha Mr. Blue ikiwa inamaliziwa kupikwa. Isikilize hapa ngoma hiyo…

No comments