Recent comments

Breaking News

Hizi ni picha 7 alizopost Rihanna katika mitandao ya kijamii na kuenea kwa kasi na kumeki Headlines katika mitandao mbalimbali ya Jamii

0
Rihanna ame-share picha zake akiwa kwenye mapumziko huko Brazil ambazo zinasambaa sana hivi sasa kwenye mtandao.

Rihanna akiwa Brazil ametumia muda huo pia kupiga picha kwa ajili ya cover ya Vogue Magazine.
Hizi picha amezipiga akila good time kwenye yatch.
6
5
4
3
2
1


No comments