Recent comments

Breaking News

Hivi ndivyo itakavyoonekana katika video mpya ya Weusi ‘nje ya box’ magari na yule manka wa kichaga on 24.01.2014 kutoka kwa mkali NISHER!

Screen Shot 2014-01-22 at 9.38.51 PM
Unaambiwa Ijumaa hii ya January 24 2014 ndio video hii itawafikia mamilioni ya Watanzania manake ndio siku ya kuachiwa kwake ikiwa imefanywa na mkali kutoka 87.9 Arusha >> Nisher.

Mwezi wa kwanza wa 2014 tayari umemilikiwa na video za wasanii kama Diamond, Chege, Madee, Makomando na sasa wanafata Weusi na ‘nje ya box’ ambayo hizi ni baadhi tu ya picha za kitakachoonekana ndani yake.

6
5
4
3
2
1

No comments