Recent comments

Breaking News

Exclusive:- P Funk Majani ndiye producer pekee anayesuka ngoma mpya ya Diamond na Prof. Jay ndani ya Bongo Records

Yawezakana hili ndilo swali ambalo watu wengi watakaobahatika kuiona hii post kwenye akaunti mbalimbali za mkali Prof Jiize mtandaoni watabaki wakijiuliza.
Masaakadhaa yaliyopita mkongwe wa Hip Hop Tanzania Joseph Haule aka Daddy au Profesa Jay na majina mengine mengi tu, amepost picha hii ikiwaonyesha yeye, Diamond Platnumz na father of Bongo Fleva kwenye upande wa mapishi Khalfan Majani aka P-Funk ndani ya studio za Bongo Records na post hiyo kusindikizwa na maneno haya:
“Ndani ya Bongo Records with the Super dupa producer P – funk Majani and @diamondplatnumz himself Muda Huu # COOKING for all yall’…. kaeni mkao wa kula watu wangu!!!”

No comments