VILLAS-BOAS WA TOTTENHAM ATIMULIWA
Andre Villas-Boas.
KOCHA wa Tottenham Hotspur ya Uingereza, Andre Villas-Boas, amefukuzwa kazi jana kwa kile klabu ilichosema “kwa niaba ya maslahi ya pande zote mbili” na ambapo mwenyekiti wa klabu hiyo, Levy, anaaminika atamtaja kocha mpya hivi karibuni.
Andre Villas-Boas amefukuzwa baada ya kipigo kutoka Liverpool cha magoli 5-0 kilichofanyika katika dimba la White Hart Lane.
No comments