Recent comments

Breaking News

Picha 7 za utengenezaji wa video mpya ya Chapa nyingine kutoka kwa Chege Chigunda



c
Chege yupo kwenye maandalizi ya video yake mpya ya wimbo wa Chapa nyingine ikisimamiwa na director Adam Juma ambapo wakali kama Madee,Temba,Dimaond, Najma, Romie Jones na wengine wengi wataonekana kwenye video.

Chek hizi picha kwanza wakati tukisubiri video yenyewe on AyoTV
a5
a7
a8
a1
a2
a3
a4


No comments