VIDEO: ANGALIA Sekunde 40 za Kilichojiri Katika Operesheni Tokomeza....TAZAMA HAPA
Like Sabibo Camp like Operesheni Tokomeza. Na hii ni just a drop of ice berg...
Hivi unaweza kujiuliza kwenye hizo kambi vingapi hatujavijua vilifanyika? Kama hadi sasa, kwa mujibu wa taarifa ya kamati wanaume walilazimishwa kufanya mapenzi na miti hadi wamalize haja zao na mengine mengi....
Shameful condition...but they should know exactly, no condition is permanent (The State of Africa; A History of Fifty Years of Independence [Martin Meredith].
Kujiuzulu tu haitoshi Watanzania tunataka kujua nini hatima ya wote waliohusika katika kuwatendea unyama wale wote waliohusishwa aidha kwa ukweli ama kwa kusingiziwa juu ya Ujangiri kama wanavyodai. Hata kama kweli hii si haki, si haki kuwalazimisha watu kufanya mapenzi na miti, si haki kumtaka mwanamke afanye mapenzi na wakwe zake wote wa kiume haijalishi wapo wangapi, si haki.....Serikali ni lazima ihusike kikamilifu katika kuhakikisha haki na sheria inafuata mkondo wake.
TAZAMA VIDEO HAPO CHINI
No comments