Pichaz za utengenezwaji wa video ya Mrs.superstar ya Young Killer
Mwanzoni mwa wiki hii zao la Serengeti Fiesta Super Nyota 2012 Young Killer alikua akishoot video ya nyimbo yake iitwayo Mrs.Super Star,audio ya nyimbo hii imefanywa na Mona Gangstar toka Classic Sound na video inafanywa na Adam Juma toka Next Level.
Hizi ni baadhi ya picha za utengenezwaji wa video hiyo ndani yake walioshirikishwa ni pamoja na mdogo wake Belle 9 anaitwa Bright na Nemo.
Pichaz za utengenezwaji wa video ya Mrs.superstar ya Young Killer
Reviewed by bongohitz1
on
10:42:00 AM
Rating: 5
No comments