Recent comments

Breaking News

NELSON MANDELA HAS PASSED AWAY....BENDERA ZA NCHI TAKRIBANI 65 KUPEPEA NUSU MLINGOTI KWA SIKU TATU

Nelson Mandela - a true icon
Raisi wa kwanza mweusi wa Afrika ya Kusini Nelson Mandela amefariki jana usiku majira ya saa mbili huko Afrika kusini akiwa na umri wa miaka 95
PBF_1454
Taarifa ya kifo cha Mzee Nelson Mandela imetangazwa na rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma saa saba kasoro usiku wa kuamkia Dec 6 2013 ambapo amefariki akiwa na miaka 95.

Taarifa ya CNN imesema Madaktari wa Mzee huyu ambao walikua wakipokezana kukaa nae kwa saa 24, wamesema Mzee Mandela kwenye kipindi hiki cha mwisho dawa zilimzoea mpaka zikashindwa kufanya kazi, yani mwili wake ulikua tayari umezoea dawa na hata ziwe kali vipi… hazikuweza kufanya kazi kikamilifu.

No comments