Hivi ndivyo Irene Uwoya alivyoingia chaka kwenye akaunti yake ya Instagram
Ukifungua page ya Irene Uwoya kwenye Instagram ambayo anatumia jina la @ireneuwoyaonepieceintown utakutana na hii picha inayohusu kifo cha muigizaji Paul Walker lakini post ya Irene imechukuliwa tofauti baada ya ku-post picha ya Van Diesel na kuandika maneno mazito.
Labda alikosea ku-post picha kwa bahati mbaya lakini unafahamu kinachotokea kwenye mitandao ya kijamii kwa watu maarufu hata wanapokosea herufi moja
Hivi ndivyo Irene Uwoya alivyoingia chaka kwenye akaunti yake ya Instagram
Reviewed by bongohitz1
on
12:42:00 AM
Rating: 5
No comments