KAULI YA MWAMVITA MAKAMBA KWA MABINTI JUU YA KUKAMATWA JACKIE CLIFF
Kutokana na tukio la kukamatwa kwa mwanamitindo maarufu nchini Jackie Patrick, mwanadada Mwamvita Makamba ametumia nafasi hiyo kuwapa onyo na ushauri wasichana wengine juu ya kutokujiingiza kwenye maswala ya unga.
No comments