Recent comments

Breaking News

Hiki ndicho alichokipost Mwanadada Lady Jaydee Commando katika akaunti yake ya Facebook

Hiki ndicho alichokipost nguli wa muziki wa takribani miaka kumi natatu toka alivyoanza miaka ya 
1999-2000. Lady Jaydee a.k.a Commando or Bint Machozi ameaamua kuandaa kipindi maalum katika Diary yake siku ya Jumapili kuonesha na kuzungumzia historia ya maisha yake kwa ujumla.

No comments