Lil Kim mwanamuziki wa kike mwenye umri wa miaka 39 Aliwapagawisha wakaazi wa London Siku Ya Ijumaa Tarehe O2/11/2013 aliwaacha midomo wazi mashabiki kwa vazi alilolitinga yani mambo yote hadharani haina tofauti na kupanda Jukwani Uchi..!
Hizi ndizo picha sita za msanii Lil Kim alizopanda nazo jukwaani zinazomwonesha maungo yake yote
Reviewed by bongohitz1
on
11:23:00 PM
Rating: 5
No comments