Recent comments

Breaking News

FAINALI YA BONGO STAR SEARCH (EBSS 2013) KUFANYIKA ESCAPE 1


Katika kile kinyang’anyiro cha kumtafuta yule atakayechukua millioni 50 wengi wamekuwa wakijiuliza wapi fainali hiyo itafanyika. Fainali itafanyika pale Escape 1 na ticket za kawaida zitauzwa Tsh 20,000 wakati zile za VIP zitauzwa kwa Tsh 50,000.

Wasanii watakao pafomu ni Young Killer, Shaa, Snura, Walter Chilambo, Peter Msechu, Barnaba, Makomando na wengine wengi….

No comments