Tuesday, June 19, 2012

PICHA YA NDEGE AMBAYO AMENUNULIA NA MKEWE BEYONCE JUNE 17GE YA JAY-


According toa MediaTakeout.com hii ndio ndege Mwimbaji Beyonce aliyomnunulia mume wake (Jay Z) kama zawadi ya siku ya kina baba duniani June 17.

Hili ni jiko lililo ndani ya hiyo ndege yenye thamani ya dola za kimarekani milioni 40.

Ndani ya hiyo Private Jet ya Jay Z.

No comments:

Post a Comment