VIDEO YA “REST OF MY LIFE” YA HEMEDY ITAANZA KUTENGENEZWA BAADA YA RAMADHANI

Msaani mkali ambaye pia ni muigiziaji wa bongo movie “Hemedy” amesisitiza kwamba utayarishaji wa video ya rest of my life utaanza baada ya kumalizika kwa ramadhani.
Mr Blue pia alichangia kuchelewa kwa hii video ya rest of my life kutokana na kuwa na ziara nje ya nnchi.
Hemedy alisema kwamba mwishoni mwa mwezi huu atazindua kwa mara ya kwanza video hii na pia siku ambayo itaizindua itakuwa ni siku ya kuzaliwa ya Hemedy.
No comments