Recent comments

Breaking News

50 CENT ADAI HANA MAKOSA KUHUSIANA NA KESI YAKE YA DOMESTIC VIOLENCE

Rapper 50 Cent alisimama mahakamani na kusema kwamba hana makosa kwenye kesi iliyofunguliwa siku za karibuni kwasababu ya fujo ambazo msanii huyo alikuwa akizifanya nyumbani kwake.
50 Cent - Floyd Mayweather Jr. Appears In Court
Curtis Jackson a.k.a 50 Cent alipewa masharti kibao na judge na moja ya masharti hayo ni kwamba 50 Cent anatakiwa akae mbali na mke wake Daphne Narvarez na wala asijaribu kumtafuta kwa simu wa barua pepe.
He also was told not to possess any weapons or try to dissuade witnesses from coming to court. 50 Cent anatakiwa kurudi tena mahakamani tarehe Sept. 4 for a pretrial hearing.
50 Cent alishitakiwa baada ya Daphne Narvarez kumfungulia kesi ya kumpiga kisa walikuwa wanabishana.

No comments