WANASHERIA WA ETHIOPIA WAAPA KUMSHITAKI BETTY KWA KUFANYA NGONO NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER
Wakati
baadhi ya watanzania wakifurahia madudu ya washiriki wetu ndani
ya jumba la Big Brother, wenzetu wa Ethiopia wameanza kuchukua
hatua stahiki dhidi ya mshiriki wao aliyekubali kufanya mapenzi
hadharani....
Kundi la wanashiria toka Adds Ababa limetangaza kuwa kwa sasa lipo katika hatua za mwisho za kukamilisha mashitaka dhidi ya mshiriki wa mwaka huu ambaye ni Betty alionekana mara kadhaa akingonoka na Bolt hadharani kama mbwa...!!!!
Big Brother siyo shindano la kungonoka na kuoneshana ujuzi wa tendo la ndoa.....Hili ni funzo kwa washiriki wetu Feza na Nando

No comments