RONALDO DE LIMA KUJINGIZA KWENYE PORN INDUSTRY
Mchezaji maarufu kutoka Brazil “Ronaldo De Lima” amejingiza kwenye
bishara ya ngono baada ya kugombania nafasi ya kununua umiliki wa gazeti
la Playboy nchini Brazil.
Playboy ni jarida linalohusiana na mambo ya ngono na hii ndio sababu kubwa inayofanya gazeti hilo kupendwa na wanaume wengi.
Sources said the ex-World Cup and Real Madrid star is hoping to buy
the huge Playboy franchise in his home country — and is close to making a
bid.
Playboy inashika nafasi ya tisa katika magezeti yanayoongoza kuuzwa
nchini Brazil licha ya kuporomoka kimauzo kutoka copy one million hadi
copy 250,000.
No comments