FERGIE WA BLACK EYED PEAS ABADILI JINA LAKE
Msanii kutoka kundi la Black Eyed Peas “Fergie” ameamua kubadilisha jina
lake la hasili “Stacy Ann Ferguson” na kuamua kutumia jina lake la
biashara “Fergie”.
“Fergie Duhamel” ndio jina kamili la Fergie mwenye miaka 38 kutoka
kundi la Black Eyed Peas. Ili jina hilo jipya lijulikane, Fergie
anatakiwa kulitangaza jina lake jipya kwenye magazeti kwa muda wa week
4.
Fergie na John Duhamel ambao ni wachumba, wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza siku za karibuni.
No comments