Recent comments

Breaking News

KASEJA KUSAINI MKATABA NA FC LUPOPO KWA KIASI CHA DOLA 30,000

Mlinda mlango namba wa Taifa Star Juma Kaseja anakaribia kujiunga na timu ya Fc Lupopo iliyopo nchini DR Congo. Fc Lupopo imefanikiwa kumchukua kaseja kutoka timu ya wekundu wa msimbazi (Simba sports club) kwa kitita cha dola za kimerekani 30,000.
Meneja wa Fc Lupopo Balanga Ismael alisema jana kuwa tunashukuru tumemalizana na Kaseja vizuri na atasaini mkataba wa miaka miwili wa kuichezea klabu yetu

No comments