Aliyekuwa mwakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya Big Brother 'The Chase' na kutokufanikiwa kuendelea na mashindano hayo 'Nando' leo mchana alikuja Clouds Media Group kwenye show ya kijanja XXL.
Kama ulimiss kumsikiliza basi nakupa nafasi ya kuisikiliza XXL hapa
No comments