HIVI NDIVYO BIFU LA DIAMOND PLATINUM NA PREZOO LILIVYOANZA KABLA NA BAADA YA USIKU WA MATUMAINI
Majigambo ya Diamond kwenye vyombo vya habari kabla ya Tamasha la
Matumaini kufanyika kuhusu kumgalagaza Prezzo kwenye show hiyo
hayajampendeza Rapcellency na sasa ameamua kujibu.
Prezzo ambaye jina lake halisi ni Jackson Makini alianza kwa kuweka picha ya gazeti inayowaonesha akiwa na Diamond kwenye habari iliyohusu tamasha hilo na kuandika ‘Hahahaha #DomoSeriously????
Mwisho alimalizia kwa kujibu tweet ya mtu mmoja aliyemwambia kuwa huyo ni Diamond kwa kuandika: Unfortunately only “diamonds” I know is the ones on ma neck fam.”
No comments