BABA MZAZI WA JOYCE KIRIA AMEFARIKI DUNIA LEO
Kupitia tovuti yake www.jocyekiria.com, Mtangazaji wa East Afrika Joyce Kiria amempoteza baba yake mzazi leo.
Haya ndio maneno aliyoandika kwenye website yake
Leo ni siku nyingine ya Historia kwenye maisha yangu baada ya baba
yangu Michael Francis Iwambo Kiria wa kibosho dakau nganyeni kufariki
huko mkoani Tanga ambako alikuwa akiishi.
Kesho ni safari ya kuelekea moshi kwa ajili ya taratibu za mazishi.
Im speechless…… RIP MY DADY
No comments