BIFU LA DIVA LOVENESS WA CLOUDS FM NA ZITO KABWE LAZIDI KUPAMBA MOTO
Baada ya kutangaza kumpiga chini
Mh.Zitto Kabwe, Loveness Diva ameamua kumchokonoa tena kwa
kumkejeli kuhusu uamuzi wake wa kugombea Urais.....
Huu ni ujumbe wake aliouweka instagram:
".Ivi kwa akili yako unadhani unastahili kweli kuwa Rais mteule wa taifa hili....??
"Usiponijibu nikaridhika, basi ntakuchukulia kama mtu mwenye upeo finyu asiyejua alitendalo.."



No comments