Baada ya wasanii wa area code 255 (Bongo) kupata kasumba ya kuanika nyeti zao hadharani sasa zamu imehamia area code 254 (Kenya). Ambapo msanii wa muziki Amani ameanika nyeti zake hadharani akiwa hajavaa kufuli hivyo kusababisha maswali mengi kwa wadau wa tasnia hiyo na wapenzi wake nchini Kenya.
Huyu ni Msanii Amani ambaye amewahi kuwa na mahusiano na Msanii AY wa Tanzania
MSANII AMANI WA KENYA AANIKA NYETI ZAKE JUKWAANI
Reviewed by bongohitz1
on
1:17:00 PM
Rating: 5
No comments