Recent comments

Breaking News

CHADEMA YATOA KAULI RASMI JUU YA SHUTUMA ZA CHAMA

Baada ya mtandao maarufu wa You tube blogs nyingi hapa mjini kuandika na kuaanika video inayoonesha mikakati ya kufanya yao, Katibu wa chama cha CHADEMA Dr. Slaa, ametoa kauli rasmi kwa serikali kwamba imchunguze Bw. Lwakatare bila upendeleo wowote ili kukamilisha ushahidi juu ya kipigo cha Mkuu wa baraza la Wahariri, tukio lililotokea siku kadhaa zilizopita

Hii ni video ya Bw. Lwakatare inayomuhusisha na kitendo hicho

Na hii ni video inayomuonesha Dr.Slaa akiiomba serikali ifanye yake.

No comments