Recent comments

Breaking News

HATIMAYE KIKOSI CHA ZIMA MOTO CHAFANIKIWA KUZIMA MOTO HUO ULIO ANZIA NYUMA YA MADUKA MPAKA MBELE, KITUO CHA MABASI CHAFUNGWA KWA MUDA!

Leo majira ya saa 11:26PM moto mkubwa ulitokea ndani ya kituo cha Mwenge na kusababisha kituo hicho kufungwa kwa muda, hali iliyopelekea usafiri wa tabu na ghasia za hapa na pale. Dakika kadhaa baada ya moto kuwaka kikosi cha zima moto pamoja na kikosi cha kutuliza ghasia na askari wa usalama barabarani walifika eneo latukio katika hali ya kuhakikisha usalama wa mali na raia eneo hilo. Moto huo ulizimwa kwa takribani saa moja kutokana na msongamano wa nyumba hapo Mwenge jirani kabisa na Mwenge Complex 
Magari ya zima moto yakiwa yanaelekea eneo la tukio Mwenge.

 MAGARI YA ZIMA MOTO YAKIWA YAMEFIKA ENEO LA MWENGE KWA AJILI YA KUZIMA MOTO HUO
 WANANCHI MBALIMBALI WAKIWA WANASAIDIA KUOKOA MALI PAMOJA NA KUSAIDIA KUZIMA MOTO, HUKU KIKOSI CHA ZIMA MOTO WAKIWA WANAWEKA UZIO KATIKA ENEO LA MWENGE

 HIVI NDIVYO YANAVYO ONEKANA MAGARI YA ZIMA MOTO
HILI NI ENEO LA MBELE AMBAPO MOTO ULIHAMIA BAADA YA KUTOKA KATIKA MADUKA YA NYUMA.
Picha zote na Blogszamikoa

No comments