Recent comments

Breaking News

HAWA NI WATU SITA AMBAO NI WAFUASI WA SHEIKH PONDA WALIOKAMATWA WAKITAKA KWENDA IKULU.


.
Taarifa kutoka http://networkedblogs.com/DFxGK zimesema kwamba hizi picha ni za watu sita wafuasi wa Sheikh Ponda waliokua wakiandamana kwenda Ikulu WATU sita waliokuwa na nia ya  kuandamana kuelekea Ikulu lakini imeshindikana baada ya polisi kuwakamata.
Waandishi wa habari ambao wapo karibu na Ikulu wamesema hawa watu walifika mmoja mmoja kabla ya kudhibitiwa na Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) na kupelekwa Kituo Kikuu cha Kati ambapo pia waandishi wameshuhudia gari mbili za jeshi la Polisi zikiwa zimebeba wanajeshi waliokuwa na silaha.
.
.
.
.

No comments