Recent comments

Breaking News

NI SIKU KARIBUNI 60 TANGU KIFO CHAKE LAKINI BADO NI GUMZO

Ni siku zipatazo karibuni sitini, tangu Marehemu Steven Charles Kanumba alipozikwa katika makaburi ya kisutu na umati mkubwa wa watu. Marehemu Kanumba ndiye aliyekuwa msanii pekee aliyeanza kuitangaza Tanzania Afrika na hata mabara mengine ya ulaya. Mafanikio yake yalifanya kuchochea soko lamuvi za kibongo kuwa kubwa na lenye mafanikio kwa wachache wale waliokuwa makini na kazi zao. Lakini hakudumu sana na hatimaye April'2012 alifariki dunia baada ya kuanguka chini kwa kishindo na kufikia kichwa baada ya kusukumwa. Inavyosemekana ni wivu wa mapenzi kati yake na msanii mwenzake Lulu.....
        Lakini bado jamii inapigwa na bumbuwazi juu ya mahusiano yao hao watu wawili, ambapo hata wengine wamethubutu kutotaka kuamini kabisa kwamba walikuwa. Jee ninani wa kulaumiwa?
                                 
                                      HILI NDO JENEZA LAKE......

Ambapo watu walipita kwa ajili ya salam za mwisho



HAPA AKIIPELEKWA KWENYE MAKAZI YA MILELE

Ambapo msanii mwenzake Claud anaonekana akiwa na huzuni juu ya safari hii ya mwisho isiyokuwa na wakati maalum

NA HAPA WAKIIMUINGIZA KABISA KWENYE NYUMBA YAKE YA MILELE

This is our final destination....Every soul shall have a test of a death then.
                                            REST IN PEACE THE GREAT We are coming.............


        
      

No comments