
Hizi
picha zimepigwa wakati J.lo akiwa na mpenzi wake Casper Smart ambae pia
ni Dancer wake, hapa walikua wametoka shopping The Grove in Los Angeles
Marekani.

.

Hili ndio gari J.Lo alilomnunulia mpenzi huyo mpya siku kadhaa tu baada ya kuachana na mumewe Marc Anthony.
No comments