Friday, August 26, 2016

VideoMPYA: Dogo Janja anatualika kwenye hii ya ‘Kidebe’



Mkali na Hit Maker wa mdundo wa ‘My Life Dogo Janja leo August 26 2016 anatualika kuitazama video yake mpya ya ‘Kidebe‘ Mdundo ambao umefanywa chini ya Producer Maco chali, video imefanywa chini ya Director Hanscana.

No comments:

Post a Comment