Habari tulizopata kupitia blog ya Shaffih Dauda ni kwamba aliyekuwa mshambuliaji wa klabu ya SIMBA Hamisi Tambwe amejiunga rasmi na klabu ya Dar es salaam Young Africans(YANGA) kwa mkataba wa mwaka mmoja
Tambwe akiweka dole gumba fomu za kujiunga na yanga kwa mkataba wa mwaka mmoja
Tambwe akisaini mkataba wa kujiunga na yanga
Tambwe akiwa na Francis Kifukwe baada kusaini kujiunga na YANGA
No comments:
Post a Comment