Recent comments

Breaking News

Video: Hivi ulitazama jinsi Mdogo wake Beyonce alivyompiga Jay Z ndani ya Lift kwa mateke na mangumi?...Itazame hapa........!

Jay Z alijikuta akishambuliwa na mdogo wake Beyonce anaejulikana kwa jina la Solange wakati wakiwa ndani ya lift.
Beyonce, Jay Z na Solange walikuwa wakitoka kwenye After Party huko New York iliyofanyika Standard Hotel. Solange alimshambulia Jay Z kwa Mateke na makofi huku Beyonce akiwa amesimama anaangalia wakati Jigga akijaribu kujilinda.
Sababu ya Solange kufanya tukio hilo bado haijafahamika.

No comments