Real Madrid yaifunga goli 4 Atletico Madrid UEFA tazama video ya magoli hapa.....
Atletico Madrid walipata goli la kuongoza ndani ya kipindi cha kwanza , ambapo Madrid walionesha mchezo wa kuutawala mpira na kucheza pasi nyingi lakini bila mafanikio....

Kipindi cha pili Ancheroti alifanya mabadiliko na kumuingiza Marcelo ambaye alibadilisha mpira na hatimaye ndani ya dakika ya 93 Sergio Ramos akasawazisha goli kwa Real Madrid baada ya kupigwa mpira wa kona.......Galeth Bale aliwamaliza kabisa Atletico Baada ya kupachika bao latatu huku akiwa maekosa magoli matatu ya wazi ndani ya kipindi cha pili cha mchezo.......Dakika mbili kabla ya mpira kuisha Ronaldo alipata penati iliyowapoteza kabisa Atletico Madrid ndani ya Lisbon na kubaki kuangua kilio uwanjani..........Itazame video ya magoli hapa!

No comments