Recent comments

Breaking News

Kim Kardashian aonekana kituko baada ya kuvaa nguo iliyozusha utata katika fashion huko Marekani......

article-0-1D4D77BE00000578-307_634x722
Pamoja na kuwa na umbo zuri, fedha za kutosha mwanadada maarufu, Kim Kardashian ameonekana kuwashangaza wengi kutokana na kuvaa sketi na blausi iliyoonekana kutokuwa nzuri.
Kim ,33, alionekana akiwa amevaa sketi hiyo iliyotengenezwa kwa ngozi, lakini haikuwa na mvuto na kusababisha watu wengi kushangazwa na hilo.
Picha nyingi za mwanadada huyo mpenzi wa msanii maarufu wa Hip Hop wa Marekani, Kanye West zimepondwa kwamba alivaa gauni la kubahatisha.
Wengine wameeleza kwamba kuvaa nguo za bei kubwa, haina maana ndiyo lazima upendeze, badala yake ni jinsi ya kujipangilia na kujitambua ulivyo.

No comments