Recent comments

Breaking News

Je wajua kuwa ni siku 3,283 hatimaye Arsenal washerehekea ubingwa kombe la FA? – Angalia video hapa

article-2631275-1DF30B7100000578-826_964x386
Klabu ya Arsenal jana ilimaliza ukame wa siku 3,283 bila kutwaa ubingwa wa aina yoyote baada ya kuifunga Hull City 3-2 kwenye mchezo wa fainali ya kombe la FA Cup.

Arsenal ilifunga magoli yake kupitia Santi Cazorla, Koscienly na Ramsey


Arsenal 3-2 Hull Cit by f100001645335567

No comments