Ile video ya Mb Dogg ‘bado umenuna’ ndio imetoka, itazame hapa....
Ukamilifu wa video hii ambayo picha zake niliziweka hapa wiki chache zilizopita ni huu hapa japo video hii ilikamilika wiki kadhaa nyuma lakini walikua wakisubiri muda sahihi wa kuitoa, ukisha itazama usiache kuandika comment yako alafu baadae MB Dogg atapita kusoma watu wake wamemuandikia nini.
Bonyeza play kutazama.
No comments