Recent comments

Breaking News

Hatimaye shindano la kumsaka Miss Ustawi 2014, laingia ukingoni.....Mlimbwende kusakwa usiku wa Ijumaa ndani ya San Siro Club

Shindano la kumsaka Miss Ustawi 2014 limekuwa headlines katika media mbalimbali kwa siku kadhaa mfululizo, ambapo washiriki wapatao kumi na tatu (13) watachuana vikali katika kusaka kinyang'anyiro hicho ndani ya viwanja vya San Siro Club.
Mashindano hayo yamehusisha kozi mbalimbali zinazotolewa na chuo hicho kilicho na makazi yake maeneo ya Bamaga.

Junes Ndalima

Fauzia Mkarada

Elizabeth Adam

Evodia Emily

Georgia Gordian

Husna Seleman

Janet Jackson



Nasra Moffat

Rachel Jonathan

Sheila Msuya


No comments