Exclusive:- Tweets za Ashley Cole akitangaza kustaafu kuichezea England
Wakati yakiwa yamepita masaa machache baada ya kocha Roy Hodgson kutangaza kikosi cha hatua ya kwanza kitakachoenda Brazil kushiriki michuano ya kombe la dunia, beki wa kimatafa wa nchi hiyo na timu ya Chelsea Ashley Cole alitangaza kustaafu kucheza kimataifa muda mchache tu mara baada ya kocha huyo kukitangaza kikosi kitakachoshiriki fainali za kombe la dunia mwaka 2014 Brazil.
Muda mchache baada ya mchezo wa jana dhidi ya Cardiff kuisha, Cole alitumia mtandao wa Twitter kutangaza adhma yake ya kuachana na soka la kimataifa baada ya kufanya mazungumzo na kocha Roy Hodgson.
No comments