Wema Sepetu kuhusu Diamond: Kama ni m**enzi ndo wangu, tahira wangu, hafai ndo tayari wangu.
Wema Abraham Sepetu amewatupa ‘dongo’ kwa wale anaodai wanaingilia mapenzi yake na Diamond Platinumz na kudai kuwa ni wake tayari kwa vyovyote wanavyomchukulia.
Wema amepost picha kwenye Instagram ikimuonesha Diamond akiwa amelala na ana alama ya lips za midomo iliyokuwa na lipstick nyekundu na kuandika yake.
“Da love of my life.... Dats wat he is.... Our life, our rules.... Sipendi watu wanavyoingilia my love life kabisa.... I am his nd he is mine... dats jus it.... Kama ni mshenzi ndo wangu, tahira wangu, hafai ndo tayari wangu.... Love him jus like dat.... Mapenzi huwa hayaingiliwi hata siku moja.... Nd dey say wapenzi wakigombana chukua jembe ukalime, hawakukosea at all... With all due respect stop talking shit bout my baby.... Cuz at da end of da day he is da one I love nd I aint scared to.say it.... Nd I aint gon.stop... Call me stupid, crazy or whateve
No comments