Recent comments

Breaking News

JB, RICHIE, IRENE UWOYA, JOHARI, WASTARA NA WENGINEO KUTOKA BONGO MUVI WAJIUNGA RASMI CCM…

Siku ya jana huko jijini Mbeya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilikuwa kinaadhimisha miaka 37 tangu kuzaliwa kwake, sherehe zilizofanyika kwenye uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine jijini humo.
Sherehe hizo zilizohudhuriwa karibu na viongozi wake wa juu wote akiwemo Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Mbali na burudani nyingine zote lakini tukio la wasanii wa wakubwa wa filamu nchini wakiongozwa na Jacob Stephen kujiunga CCM rasmi lilivuta hisia za wengi.
Mbali na Jacob Stestephen aka JB, wapo pia Irene Uwoya, Dokii, Amanda Posh, Baba Haji, Mboto, Richie, Johari, Banana Zorro na wengineo pia walihudhuria sherehe hizo na kudhihirisha uanachama wao hai ndani ya chama hicho.


No comments