Hizi ndizo sababu kuu mbili zisizo za msingi kwa BASATA kufungia video ya Prince Dully Sykes "Kabinti Special"
Wote tumemsikia jana Prince Dully Sykes akiongelea kufungiwa kwa video yake ya kabinti special na Baraza la Sanaa Tanzania(BASATA) . Kuna sababu kuu mbili zilizosababisha video hii kufungiwa na ya kwanza ni kitendo cha msanii Diamond Platnumz kuvaa T-shirt iliyoandikwa neno ambalo ni tusi . Hii ingekua kwa nchi za mbele basi ungekutwa t-shirt hii wanaifanyia kitu kinaitwa “blurring” yaani
wanayafanya maneno yasisomeke lakini wabongo wakaona isiwe tabu na director akaamua kuacha video irushwe ikiwa katika hali hii.Sababu ya pili ni vazi la ufukwe yule demu alilovaa kitu ambacho dully ameona haikua mbaya.
Je, Unadhani ni haki video hii kufungiwa na kama ni haki je unafikiri ifungiwe ni kwasababu ipi ya msingi?
No comments