Imekua moja ya video mpya zinazopata nafasi ya kuchezwa sana kwenye zaidi ya TV Stations tatu za kimataifa ambazo zinaonekana sana Afrika.
Mpaka sasa imeshatazamwa zaidi ya mara milioni tatu laki mbili kwenye Youtube toka iwekwe ndani ya wiki tatu zilizopita.
No comments